Ahadi yako kwa Mfuko wa Huduma za Jimbo (DSF) inatoa msaada muhimu sana kwa huduma 64 zinazohudumia wale wanaohitaji. Kupitia ukarimu wako unafanya yafuatayo:
Ndiyo! Napenda kuchangia Mfuko wa Huduma za Jimbo leo!
If you'd prefer to set up a one-time gift, click here
Asante kwa ukarimu wako! Msaada wako thabiti utasaidia kanisa letu kuendelea kuishi Imani yetu. Tunaweza kutegemea msaada wako?
Tafadhali kama una maswali wasiliana na ofisi kwa namba hizi: 713 652 4444 au barua pepe: dsf@archgh.org.
Kujua Zaidi juu ya DSF, guza hapa. Asante!